Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira
Mimi ni binti ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi
yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea
kwamba mwanaume anataka tuonane lakini gesti jambo ambalo lilinishangaza
sana na wala c kawaida kutokea kwa maana walikuwa wamengashiwa nyumba
maeneo ya tegeta na mwajiri wke.
Nikahoj hlo swala nakujibiwa kuwa ana
wagen toka kwao iringa ambae ni mtu na mkewe ndo amewaachia
chumba,nilielewa somo nakuendelea na mambo yetu.
Alinirudisha mpk nyumban
baada yakumaliza kaz yetu kwa siku hyo.....nilipofika nyumban baada
yakupumzika nikampgia cm lkn cha ajabu ikapokelewa na mwanamke nakuanza
kuniporomoshea matuc,nilishikwa na butwaa nicjue nn chakufanya lkn
nikaona nitulie maana nilishikwa na jazba sana kilichoniuma ni kutukanwa
kupitia cm ya niliyejua ni mtu wngu.....,nikanyamaza lkn ckusita
kuuliza c unajua kupenda tena,akanipa majibu lkn akil ikawa kichwan
mwangu.
Baada ya muda nikaja kuckia kuwa huyo jamaa ana mke wa ndoa kbs
huko iringa kwao na nilipojaribu kumuuliza akakataa katukatu.Mapnz yngu
kwake yalipungua lkn kilichokuwa kinanifanya kuendelea nae nikumjua hasa
aliyenutukana....tukiwa wote huyo mwanamke alipga cm kwa huyo jamaa
nkaipokea nakuanza kumwambia kuwa huyo ni mtu wngu mbele ya mwanaume wke
lkn ikazua mtafaruku mkubwa sana,cha ajabu mwanaume nikamkuta na pete
ya ndoa nlipomuuliza akasema inamsaidia asitongozwe na watu kwa kwel
nilizid kupata hasira nikamvua ile pete na ucku huo nikampgia huyo
mwanamke nakumuomba msamaha maana nmekuwa na mtu wke bila kujua.
Leo
mchana mwanaume ananipgia nakuendelea kukataa naomba mnisaidie mawazo
kwa kwel nmekwazika sana.Na pete ya ndoa tena Gold nnayo hapa na ctak
hata kumuona.

Post a Comment