ad

ad

MAHAFALI YA SITA YA CHUO CHA ARUSHA JOURNALISM KATIKA PICHA

 Mahafali hayo yalifanyika siku ya ijumaa 22/03/2013 katika ukumbi wa PPS MBAUDA,mgeni wa mahafali hayo alikuwa mkurugenzi wa Gazeti la kutoka Arusha na mtangazaji wa zamani wa Star TV Angero Mwalekwa katika picha hapo juu ndo mgeni wa mahafali hayo.
                 Kushoto ni Rais wa chuo Arusha Jounalism na kulia ni Mtangazaji wa MJ FM ya Arusha.

Mathew ni mwanafunzi wa kwanza kupewa tuzo ya juu sana na ya heshima kwa mara ya kwanza katika picha ndo tuzo yenyewe hapo juu.
Powered by Blogger.