Katibu wa CCM adaiwa kumpiga diwani wa Mwanga
Dar es Salaam. Diwani wa Kata ya Mwanga Kusini kupitia CCM
mkoani Kigoma, Anord Mtewele, amemlaumu Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma,
Mohamed Nyawenga akidai alimshambulia na kumdhalilisha kwa kumpiga na
kumtolea lugha chafu.
Mtewele alisema bosi wake huyo alimtendea hayo
siku ya Jumapili iliyopita mchana akiwa kwenye gereji iliyoko Mwanga
Kaskazini ambako gari lake lilikuwa likikarabatiwa.
“.
“.
Katibu wa CCM mkoani Kigoma Nyawenga alipoulizwa
kwa simu na gazeti hili alionyesha kushangaa juu ya suala hilo huku
akisema hajawahi kulifanya.

Post a Comment