ad

ad

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MHASHAMU AMEDEUS MSARIKIE MJINI MOSHI JANA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za Mwisho mbele ya jeneza la Askofu Mstaafu jimbo Katoliki la Moshi Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa misa ya Mazishi iliyofanyika katika Kanisa na Kristu Mfalme, mjini Moshi jana.
Continued after the jump ....

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Askofu Mstaafu Jimbo Katoliki la Moshi, Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa ibada ya mazishi Iliyofanyika katika Kanisa la Kristu Mfalme mjni Moshi jana.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Mstaafu jimbo Katoloki la Moshi Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa ibada ya mazishi Iliyofanyika katika Kanisa la Kristu Mfalme mjini Moshi Jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) akitoa heshima zake za mwisho kwa Askofu Mstaafu wa Kanisa Katoliki nchini, hayati Amedeus Peter Msarikie, katika misa ya kumuaga iliyofanyika jana katika Kanisa la Kristo Mfalme, Mjini Moshi.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)
Powered by Blogger.