JKT OLJORO 1-1 SIMBA MATUKIO KATIKA PICHA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA
Mashabiki wa Timu ya simba wa kiwa uwanjani Sheikh Amri Abeid
Mashabiki wa JKT OLJORO hapa ni baada ya kufungwa bao moja dakika ya tisa ya kipindi cha kwanza na Kazimoto.
Wana simba wakiwa katika masikitiko baada ya JKT OLJORO kusawazisha kipindi cha pili.
Wapiga picha wa 2jiachie.com walikuwa katika matembezi na wana 2jiachie SIKU YA JANA katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakishuhudia Simba na Oljoro
Picha ya chini ni baada ya mchezo na mashabiki wa timu ya simba kuvamia uwanja na kusema kuwa timu ya simba ni ya Rage na Familia yake du...........
Mashabiki wa timu ya simba wakileta noma kwa kocha wakimtaka OKWI...OKWI...OKWI..
JKT OLJORO WAKITOKA UWANJANI BAADA YA YA MCHEZO
Mashabiki wa Timu ya simba wakisukuma basi la timu yao wakimdai Okwi..okwi..okwi..
PICHA ZOTE NA NICOLAUS TRAC-(2jiachie)
























Post a Comment