AY AINGIA KATIKA ORODHA YA 2013HIP HOP HEAVYWEIGHTS YA JARIDA LA "HESHIMA"

Kwenye jarida la mwezi November la Bongo5, AY alikuwa mmoja ya
wasanii tuliowaweka kwenye orodha ya ‘Bongo Kings’ hivyo si jambo la
kushangaza kuona jarida la Heshima la Kenya kumweka kwenye orodha yake
ya ‘2013 Hip Hop Heavyweights’. AY ambaye jina lake halisi ni Ambwene
Yessaya ana mengi aliyoyafikia na kumfanya apate heshima.
Tukianza na tuzo ya Channel O aliyoipata mwaka jana (Video bora ya Afrika Mashariki) kwa wimbo wake ‘I don’t wanna be alone’. AY ndiye msanii wa Tanzania ambaye video zake zinachezwa zaidi kwenye TV za kimataifa, Speak With Your Body, Party Zone, Money na list inaendelea.

Pia anang’ara kwenye video aliyoshirikishwa na msanii wa Nigeria
Goldie Harvey’Skibono’. Tayari ana wimbo uliokamilika aliofanya na Sean
Kingstone, so bado tu una wasiwasi na uheavy weight wa Ambwene?
Kampuni yake ya Unity Entertainment imeendelea kukua na sasa ikiwa na wasanii kama Ommy Dimpoz, Feza Kessy na Stereo kwenye roaster yake.
Kampuni yake ya Unity Entertainment imeendelea kukua na sasa ikiwa na wasanii kama Ommy Dimpoz, Feza Kessy na Stereo kwenye roaster yake.
Post a Comment