LHRC Video: Walaan RC Makonda Kuvamia Clouds Media......Wamtaka Rais Magufuli Amwaibishe
Kituo
cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk
Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za
RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.
Bisimba ameitaka Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa ili kukomesha tabia hiyo.
Post a Comment