Kauli ya Zitto Kabwe na Hussein Bashe Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua Nape

Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika: "Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu"
Bashe kupitia Instagram kaandika:You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.Nimezungumza na mbunge wa Mchinga @Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) March 23, 2017
Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.
Post a Comment