Video: Tundu Lissu amfungukia Lowassa, amhusisha Dk. Slaa
Akiongea na Global TV On Live, Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu amefunguka mambo mbalimbali kumhusu Edward Lowassa na kuelezea kwa nini waliamua kumkubali Lowassa kuwa mgombea wao wa uraisi licha ya kuwa na tuhuma za ufisadi, kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania!.
Post a Comment