Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA, Awagaragaza Messi na Griezmann
Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA
Ronaldo, 31, amewafunika wapinzani wake,
Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid
katika sherehe zilizofanyika mjini Zurich, Uswisi.

Meneja wa Leicester City Claudio Ranieri
ametajwa kuwa kocha bora wa mwaka kwa upande wa wanaume, huku Silvia
Neid, meneja wa zamani wa Ujerumani, akishinda kwa upande wa wanawake.
Post a Comment