HARUSI YA MCHEKESHAJI MASELE CHAPOMBE ILIVYOFAANA KANISANI
Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la
Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ ameaga ukapela baada
ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Specioza Malick
iliyofungwa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Consolata
lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam.
Post a Comment