Mshambuliaji nota, Zlatan Ibrahimovich âmepata nafasi ya kuanza rasmi mazoezi na wenzake wa Manchester United.
Zlatan
raia wa Sweden amejifua na wenzake kwa mara ya kwanza tokea amejiunga
na Man United akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kwisha PSG ya
Ufaransa.
Post a Comment