Breaking News; TFF YAMFUNGIA JERRY MURO MWAKA MMOJA...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya TFF, kilikaa leo bila ya Muro kuwepo kwa kuwa wakati mwaliko unatoka alikuwa nje ya Dar es Salaam.
Awali Muro alisema alikuwa mapumzikoni Machame mkoani Kilimanjaro ambako ni kwao.
Post a Comment