YANGA BINGWA VPL kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi
Yanga Bingwa.
Wameubeba ubingwa kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi.
Msimu
uliopita walibeba ubingwa wakiwa na mechi mbili mkononi, lakini safari
hii wamechukua wakiwa na mechi tatu. Hii imetokana na Simba kupokea tena
kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mwadui FC.
Kutokana
na kipigo Yanga inabeba ubingwa ikiwa na pointi 68 ambazo hata kama
Simba itashinda mechi zake tatu zilizobaki, itafikisha pointi 67 na Azam
FC ikishinda mbili zilizobaki itakuwa na 66.
Post a Comment