Trump na Clinton wanaongoza katika vyama vyao
Mgombea wa Democratic Hillary Clinton.
Mgombea wa Republican Donald Trump.
Wagombea wote wawili wameshinda majimbo saba kila mmoja. Wameshinda wote wawili majimbo ya Alabama, Georgia, Tennessee na Virginia.
Matokeo kwa sasa:
• Donald Trump (Republican): Alabama, Georgia, Massachusetts, Tennessee, Virginia, Arkansas, Vermont
• Ted Cruz (Republican): Texas, Oklahoma
• Marco Rubio (Republican): Minnesota
• Hillary Clinton (Democrat): Alabama, Georgia, Tennessee, Virginia, Arkansas, Texas, Massachusetts
• Bernie Sanders (Democrat):Vermont, Oklahoma, Minnesota, Colorado
CHANZO: BBC SWAHILI
Post a Comment