Mastaa wa bongo walivyomuandalia party Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda
March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo wameandaa party ya kumpongeza Paul Makonda kwa kuteuliuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
RC Paul Makonda, katikati ni steve nyerere na JB
Mboni Masimba
Single Mtambalike
Wasanii wa Bongo movie
Wasanii kutoka Bongo Movie
Ireen Uwoya na Ghabo
Ireen Uwoya
RC: Paul Makonda na Mrisho Mpoto
Steve Nyerere akiteta jambo na wasanii wenzanke
Mrisho Makonda
RC: Paul Makonda
Wasanii Haji na Aunt Ezekiel
RC: Paul Makonda na Aunt Ezekiel
RC: Paul Makonda na Wasanii kwenye picha ya pamoja
JB na Thea
PICHA NA MILLARDAYO

Post a Comment