Masogange: Mnapoteza muda kunijadili
Video Queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amewataka watu
kufanya kazi na kuacha kumjadili kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza
bure muda wao.

Akiteta Masogange alisema watu wamekuwa hawafanyi mambo yao binafsi bali kujadili mambo ya watu wengine kitu ambacho siyo sahihi.
“Mimi naona wanapoteza muda tu kunijadili, wangefanya mambo yao wangeweza kuendelea kuliko kunijadili mimi hapa naona watachelewa kwenye mafanikio yao,” alisema Masogange.

Post a Comment