MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE
Mshambuliaji
wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli
akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami
Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.
Mahaba Niue! Baloteli na Fanny wakiendelea kula raha kwenye fukwe za Miami.
...Wakiendelea kuogelea pamoja na kucheza ndani ya maji.
Balotelli akikumbatiana na mpenzi wake Fanny ndani ya maji.
Balotelli akiwa amembeba mpenzi wake.
...Wakitoka kuogelea.
Wakitizama kitu (hakipo pichani) huku wakitabasamu.
Balotelli akivuta sigara akiwa katika hoteli ya Balcony.
PICHA ZOTE NA DAILYMAILY
Post a Comment